Gurudumu la Uchumi

Bei ya Bidhaa kipindi cha Krismasi

Imechapishwa:

Kipindi hiki cha shamrashamra za Krismasi na mwaka mpya, watu wengi hufanya manunuzi ya vyakula, nguo na wengine husafiri kwenda kusherehekea pamoja na  jamaa, ndugu na marafiki.Juma hili katika Makala haya ya Gurudumu la Uchumi tunaangazia namna bei ya bidhaa mbalimbali ilivyokuwa katika nchi za Afrika Mashariki na Kati wakati wa kipindi hiki.

Vipindi vingine