Gurudumu la Uchumi

Je, kushuka kwa bei ya mafuta duniani ni ahueni kwa watumiaji na walaji

Sauti 09:37
REUTERS/Shannon Stapleton

 Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia kushuka kwa bei ya mafuta dunia, kwenye makala haya utasikia ni kwa namna gani kushuka kwa bei ya mafuta huenda kukawa na ahueni kwa wananchi? lakini pia ni kwa kiasi gani baadhi ya mataifa yataathirika kiuchumi?Mtangazaji amezungumza na Dr Oswald Mashindano mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa jijini Dar es Salaam, Tanzania.