Gurudumu la Uchumi

Uhusiano kati ya taifa la China na nchi ya Sudan Kusini

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia uhusiano kati ya nchi ya China na taifa jipya la Sudan Kusini, uhusiano ambao hivi karibuni umeendelea kuimarishwa na viongozi wa nchi hizi mbili, huku tayari kukiibuka hofu kuwa huenda China inata kunyonya uchumi wa taifa la Sudan Kusini.

RFI/Stéphane Lagarde