Gurudumu la Uchumi

Ripoti ya mwaka ya ILO kuhusu tatizo la ajira duniani

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala hii juma hili ameangazia ripoti ya mwaka 2015 iliyotolewa na shirika la kazi duniani ILO, ikionesha kuwa bado kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana hali inayochangia kushuhudiwa kwa migogoro kwenye nchi nyingi.

Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi
Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi RFIkiswahili