Wimbi la Siasa

Chama cha SPLM chajipanga kumaliza mgogoro wa Sudan Kusini

Sauti 09:55
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia)
Rais Sava Kiir (kushoto) akiwa pamoja na kiongozi wa waasi Riek Machar (kulia) REUTERS/Goran Tomasevic

Pande zinazohasimiana ndani y Chama cha SPLM nchini Sudan Kusini zinaelekea kufungua ukurasa mpya baada ya kusaini mkataba wa kumaliza tofauti ndsani ya chama na hatimaye kumaliza mgogoro wa Sudan Kusini. Je makubaliano ya awali yaliyofikiwa yatafua dafu na kumaliza mgogoro huo? Fuatilia makala haya na Victor Robert Wile kupata undani na mustakabali wa nchi hiyo ambayo ni taifa changa kuliko yote duniani.......