Gurudumu la Uchumi

Namna gani vijana wanaweza kutumia fursa kujikwamua kiuchumi

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala hii juma hili amezungumza na Oscae Kimaro, afisa habari na uenezi kutoka taasisi ya Restless Development taasisi inayojihusisha na kuwasaidia vijana katika nyanja mbalimbali ili waweze kujikwamua kiuchumi.

RFI/Dandago