Jua Haki Zako

Human Rights Watch wasema serikali duniani zimekiuka haki za binadamu pindi zinapokabiliana na masuala ya usalama

Sauti 09:40
serikali zimekuwa zikikiuka haki za binadamu pindi zinaposhughulikia ukosefu wa usalama duniani
serikali zimekuwa zikikiuka haki za binadamu pindi zinaposhughulikia ukosefu wa usalama duniani RFI/Siv Channa

Shirika la kutetea haki za binadamu la kimataifa limearifu katika ripoti yake ya hivi karibuni kuwa serikali nyingi duniani zimekiuka haki za binadamu katika kushughulikia usalama wa mataifa yao na kuchangia kuzuka kwa makundi ya wapiganaji ambayo nayo hujibu kwa kukiuka haki za binadamu.