Gurudumu la Uchumi

Nchi ya Ugiriki yaomba kulegezewa masharti ya kurejesha mkopo wake

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia hatua ya viongozi wapya wa Ugiriki ambao wanataka kubadilishwa kabisa kwa sera za uchumi wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kulegezwa kwa masharti ya nchi hiyo kurejesha mkopo iliyopewa kuikwamua kwenye mzozo wa kiuchumi, ombi ambalo viongozi wengi wa Ulaya wanapinga.

Reuters/Alkis Konstantinidis