Gurudumu la Uchumi

Mzozo wa kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala hii, juma hili ameangazia mzozo wa kiuchumi ulioibuka kati ya nchi ya Tanzania na Kenya kuhusu suala la watalii wanaotembelea nchi hizo mbili, hali iliyosababisha kuzuiwa kwa magari ya Tanzania kupeleka watalii kwenda nchini Kenya.

TZ govt