Gurudumu la Uchumi
Utalii waongoza nchini Tanzania kuingiza fedha fedha za kigeni
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia ripoti iliyotolewa nchini Tanzania na kuonesha kuwa Sekta ya Utalii ndio ambayo imekuwa ikiingizia fedha nyingi za kigeni nchi hiyo, huku madini na kilimo vikitajwa kuendelea kusuasua.