Gurudumu la Uchumi

Mpango wa matokeo makubwa sasa wafanikiwa Tanzania

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili imeangazia ripoti ya mwaka mmoja kuhusu mpango wa Serikali ya Tanzania "Matokeo Makubwa Sasa" mpango ambao unaelezwa kuwa na mafanikio katika kilimo.