Wimbi la Siasa

Joto la Uchaguzi lazidi kupanda nchini Burundi

Sauti 10:07
Rais wa Burundi  Pierre Nkurunziza
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza AFP PHOTO/Brendan SMIALOWSKI

Uchaguzi wa Rais na Wabunge nchini Burundi unatarajiwa kufanyika mwezi Mei na Juni mwaka huu. Kutokana na kuendelea kwa mchakato wa uchaguzi joto la kisiasa limeendelea kupanda huku nchini hiyo ikiandamawa na migomo na maandamano. Je kutokana na kile kinachoendelea nchini Burundi nini mustakabali wa nchi hiyo? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa upate undani wa siasa za Burundi kuelea uchaguzi.......................