Habari RFI-Ki

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yashinikiza baraza la usalama UN kumkamata raisi wa Sudan El Bashir

Sauti 09:39
Mwendesha mashtaka wa ICC Fatou Bensouda
Mwendesha mashtaka wa ICC Fatou Bensouda DR

Mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita imeiarifu baraza la usalama la umoja wa mataifa kuhusu serikali ya Sudan Kusini kushindwa kumkamata eraisi wa Sudan Omar El Bashir........