Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya pili mpango wa Serikali ya Tanzania wa BRN kuhusu ukusanyaji wa mapato

Imechapishwa:

Msikilizaji makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inakuletea sehemu ya pili ya mfululizo wa kipindi kinachoangazia mpango wa Serikali ya Tanzania wa Big Results Now kuhusu namna bora ukusanyaji mapato inavyoendelea kuimarisha uchumi wa taifa la Tanzania.

Sehemu ya wafanyabiashara wadogo katika soko la Machinga jijini Dar es Salaam
Sehemu ya wafanyabiashara wadogo katika soko la Machinga jijini Dar es Salaam RFI