Habari RFI-Ki

Nani ananufaika katika kushuka kwa gharama za mafuta katika soko la kimataifa?

Sauti 09:18

Makala ya habari rafiki inaangazia kushuka kwa gharama za mafuta katika soko la dunia,ni nani anayenufaika katika ukanda wa Afrika maskariki ambako tayari katika baadhi ya mataifa imethibitika kushuka.