Habari RFI-Ki

Hofu ya mashambulizi yatanda kaskazini mwa kenya

Sauti 09:56
Shambulizi lililolenga gari ya abiria kaunti ya Mandera Kenya na kuua zaidi ya watu 20
Shambulizi lililolenga gari ya abiria kaunti ya Mandera Kenya na kuua zaidi ya watu 20 REUTERS/Stringer

Hali ya wasiwasi imetanda katika kaunti ya Mandera kaskazini mwa  Kenya kufuatia mfululizo wa mashambulizi ya kundi la Al Shabab mpakani mwa kenya na Somalia,Uongozi wa Kaunti umepoteza matumaini ya usalama kuimarika.