Gurudumu la Uchumi

Mpango wa matokeo makubwa sasa nchini Tanzania na jinsi unavyomaliza tatizo la uchukuzi

Imechapishwa:

Msikilizaji juma hili tunakueletea sehemu ya tatu na ya mwisho kuhusu mpango wa Serikali ya Tanzania wa BRN na namna ambavyo unalenga kuondoa umasikini kwenye taifa hilo kwa kuimarisha sekta ya uchukuzi.

Moja ya treni ya Tazara ambayo ni ya Ushirikiana kati ya Zambia na Tanzania
Moja ya treni ya Tazara ambayo ni ya Ushirikiana kati ya Zambia na Tanzania Tazara/Tanzania