Wimbi la Siasa

Kurejea kwa Netanyahu katika kiti chake nchini Israeli kuathiri mazungumzo ya amani Mashariki ya Kati

Imechapishwa:

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu hivi karibuni aliibuka na ushindi kwenye uchaguzi wa Bunge huku Chama chake cha Likud kikijizolea viti 30 kati ya 120. Je kurejea madarakani kwa Netanyahu kunaathiri vipi mchakato wa kusaka amani katika nchi za kanda ya Mashariki ya Kati? Fuatilia Makala ya Wimbi la Siasa ili kujua undani wa suala hilo na Victor Robert Wile............

Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu REUTERS/Amir Cohen