Gurudumu la Uchumi
Mzozo wa kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya kuhusu watalii
Imechapishwa:
Cheza - 09:57
Juma hili msikilizaji wa rfikiswahili, makala ya Uchumi inaangazia mzozo wa kiuchumi ulioibuka baina ya Serikali ya Tanzania na Kenya kuhusu kuingia kwa watalii kwenye mpaka wa mbuga za Arusha hali iliyofanya kuzuiwa kwa magari ya Tanzania kuingia Kenya.