Wimbi la Siasa

Sudan Kusini yaingia katika hali tete baada ya Rais Salva Kiir kuongezewa miaka mitatu ya utawala

Imechapishwa:

Hivi karibuni Bunge la Sudan Kusini lilijiongea muda na kuongeza pia muda wa utawala wa rais Salva Kiir kwa kipindi cha miaka mitatu zaidi. Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa anazungumza na wachambuzi wa siasa za kimataifa kuangazia suala hilo na mustakabali wa mchakato wa kusaka amani nchini humo........

Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir, Nairobi
Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir, Nairobi REUTERS/Thomas Mukoya/Pool
Vipindi vingine