Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya pili kuhusu mzozo wa kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya

Sauti 09:49
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akifurahia jambo na rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akifurahia jambo na rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete Tanzania Govt

Juma hili makala ya uchumi inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu mzozo wa kiuchumi kati ya nchi za Tanzania na Kenya hali ambayo ilishuhudia Tanzania ikipunguza safari za ndege za shirika la Kenya.