Gurudumu la Uchumi

Changamoto za kiuchumi zinazomkabili rais mteule wa Nigeria, Muhammadu Buhari

Sauti 09:16
Rais mteule wa Nigeria, Jenerali Muhammadu Buhari
Rais mteule wa Nigeria, Jenerali Muhammadu Buhari REUTERS

Juma hili makala ya Uchumi inaangazia changamoto za kiuchumi ambazo zinamkabili rais mteule wa Nigeria, Muhammadu Buhari, ambaye alichaguliwa baada ya wananchi kuonesha kuwa na imani nae kushughulikia masuala ya usalama na kutengeneza ajira nchini humo.