Gurudumu la Uchumi

Muswada wa kuanzishwa kwa baraza la vijana nchini Tanzania

Sauti 10:05
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tanzania Parliament Website

Msikilizaji juma hili, makala ya Uchumi inakuletea mjadala kuhusu kupitishwa kwa muswada wa sheria ya kuanzishwa kwa baraza la vijana Tanzania, hatua inayolenga kuwakutanisha vijana kwa pamoja kuwawezesha kutambua na kutatua matatizo yao.