Makada wa CCM wajitokeza kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera katika kinyang'anyiro cha urais

Sauti 10:00
Baadhi ya viongozi wa CCM
Baadhi ya viongozi wa CCM RFI

Wakati Tanzania ikitarajiwa kufanya uchaguzi wake mwezi Oktoba mwaka huu 2015, Chama tawala nchini humo CCM kikipuliza kipenga na katika hali isiyo ya kawaida makada wake wamejotokeza kwa wingi kuliko miaka ya nyuma. Hali hiyo inaacha maswali mengi na makala ya Wimbi la Siasa hii leo inaangazia kwa kina mchakato huo ndani ya CCM. Ungana na Victor Robert Wile kupata undani wa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi wa 2015...........................