Mapinduzi ya Burkina Faso na mustakabali wa Uchaguzi ujao

Sauti 09:58
Rais wa Burkina Faso Michel Kafando na majenerali wa jeshi
Rais wa Burkina Faso Michel Kafando na majenerali wa jeshi REUTERS/Joe Penney

Rais wa serikali ya mpito Burkina Faso Michel Kafando alipinduliwa hivi karibuni wakati nchi hiyo ikijiandaa kwa uchaguzi wa kidemokrasia baada ya serikali ya Rais wa zamani wa nchi hiyo Blaise Compaore kuangushwa. Makala haya yanakujuza kwa kina kuhusu mustakabali wa Burkina Faso.