Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Changamoto zinazoenda kumkabili rais mpya wa Tanzania, John Magufuli

Sauti 09:40
John Pombe Joseph Magufuli, rais mpya wa Tanzania
John Pombe Joseph Magufuli, rais mpya wa Tanzania REUTERS/Emmanuel Herman
Na: Emmanuel Richard Makundi
Dakika 11

Mtangazaji wa makala haya hii leo anaangazia kuhusu kuapishwa kwa rais mpya wa Tanzania wa awamu ya tano, John Magufuli na changamoto za kiuchumi ambazo ataenda kukabiliana nazo.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.