Gurudumu la Uchumi

Fahamu jinsi ya kuwa na matumizi sahihi ya kipato chako katika mwaka 2016

Sauti 09:13
Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia namna ambavyo mwananchi wa kawaida anaweza akawa na mpango sahihi wa matumizi sahihi ya kipato chake kwaajili ya familia na taifa kwa ujumla.