Wimbi la Siasa

Jamhuri ya Afrika ya Kati na changamoto za uchguzi

Sauti 10:03
Hali ilivyokua mjini Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Disemba 30, 2015
Hali ilivyokua mjini Bangui nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Disemba 30, 2015 REUTERS/Media Coulibaly TPX IMAGES OF THE DAY

Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati hivi karibuni walishiriki katika zoezi la uchaguzi licha ya nchi hiyo hiyo kuendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali za kiusalama. Ungana na Victor Robert Wile katika makala haya ya Wimbi la Siasa akizungumza na mmoja wa wanasiasa Eddy Symphorien Kparekout kuangazia hali ya kisiasa nchini humo.