Sehemu ya pili kuhusu matumizi sahihi ya pato la mtu binafsi
Imechapishwa:
Sauti 10:11
Msikilizaji juma hili mtangazaji na mtayarishaji wa makala haya anakuletea sehemu ya pili ya namna mtu binafsi anavyoweza kuwa na matumizi sahihi ya kipato anachopata kwaajili yake, familia na taifa kwa ujumla.