Wimbi la Siasa

Zanzibar hali bado tete, CUF na CCM zaendelea kuvutana

Sauti 10:00
Rais wa mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzubar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
Rais wa mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzubar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Ikulu/Issa Michuzi

Mkwamo wa kisiasa Visiwani Zanzibar nchini Tanzania unaendelea kuzua kitendawili baada ya pande mbili za Chama cha Mapinduzi, CCM na Chama cha Wananchi, CUF kupingana kimsimamo. Je ni misimamo gani hiyo? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa akiangazia hali ya mambo Visiwani Zanzibar.............