Fahamu namna unavyoweza kutumia teknolojia kufanya biashara
Imechapishwa:
Sauti 09:06
Mtayarishaji wa makala ya gurudumu la uchumi, juma hili anajadili namna unavyoweza kutumia mtandao ama teknolojia ya mtandao kufanya biashara, ama iwe kuuza, kununua ama kutangaza.Matumizi sahihi ya mtandao kibiashara kumewanufaisha maelfu ya watu duniani, fahamu zaidi kupitia makala hii.