Habari RFI-Ki

Polisi mjini Kinshasa yazima midahalo na misa iliyokuwa imeandaliwa na upinzani, DRC

Sauti 09:52

Katika Makala hii, tunazungumzia maandamano yaliyofanyika mjini Goma na Bukavu katika muktadha wa kumbukumbu ya maandamano ya tarehe 19 january 2015, kupinga sheria mpya ya uchaguzi ambapo watu 42 waliuawa, kwa mujibu wa vyanzo vya mashirika ya kiraia.Mjini Kinshasa, mambo yalikuwa tofauti, Polisi ilifuta midahalo pia misa kuwakumbuka wafu hao,Msikilizaji, Je...operesheni hizi zitasaidia kweli kuhakikisha Hali ya Utulivu wa Usalama inaendelea kuimarika nchini DRC kuelekea kwenye Uchaguzi?Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza makala hii.