Wimbi la Siasa

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa washinikiza mazungumzo ya amani Burundi

Sauti 10:00
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza © AFP PHOTO / LANDRY NSHIMIYE

Umoja wa Mataifa kupitia Baraza lake la Usalama umetuma ujumbe wake nchini Burundi kumshawishi Rais Pierre Nkurunziza kufanya mazungumzo na upinzani ikiwa ni pamoja na kumshawishi akubali kupelekwa kwa wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika. Fuatailia makala ya Wimbi la Siasa kujua yaliyojiri na Victor Robert Wile......