Gurudumu la Uchumi

Miundombinu ya jiji la Dar es Salaa, Tanzania kuboreshwa kupunguza foleni na adha nyingine kwa wafanyakazi

Sauti 09:57
Mfano wa barabara za juu zitakazojengwa jijini Dar es Salaam, Tanzania
Mfano wa barabara za juu zitakazojengwa jijini Dar es Salaam, Tanzania RFIKISWAHILI

Mtayarishaji wa makala haya juma hili ameangazia namna ambavyo jiji la dar es Salaam, linaenda kuboreshwa miundombinu yake ikiwemo barabara na reli ili kukabiliana na foleni na adha nyingine kwa wafanyakazi wanaotumia muda mwingi barabarani kuliko makazini. Lakini pia njia ya reli kwa lengo la kuhakikisha mizigo mizito haipitishwi barabarani hatua itakayosaidia kuimarisha sekta ya uchukuzi nchini humo.