Mapendekezo ya mpango wa maendele wa taifa nchini Tanzania.
Imechapishwa:
Sauti 09:40
Mtayarishaji wa makala haya, juma hili anaangazia mapemdekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2017/2017 kwa nchi ya Tanzania, ambapo waziri wa fedha aliuwasilisha bungeni kwaajili ya kujadiliwa huku masuala kadhaa yakiibuka kwenye mapendekezo hayo, na hapa mtaangazaji anajadili baadhi ya mapendekezo.