Gurudumu la Uchumi

Biashara ya samaki kwenye soko la Bagamoyo nchini Tanzania

Sauti 08:24
Soko la samaki wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani nchini Tanzania
Soko la samaki wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani nchini Tanzania RFI

Mtayarishaji wa makala haya, juma hili anakuletea makala maalumu kuhusu biashara ya samaki kwenye mji mkongwe na wakitalii nchini Tanzania wa Bagamoyo.