Gurudumu la Uchumi

Sekta ya utalii kwenye mji mkongwe wa Bagamoyo, Tanzania

Sauti 10:11
Eneo la Kaole, sehemu ya makumbusho iliyoko wilaya ya Bagamoyo
Eneo la Kaole, sehemu ya makumbusho iliyoko wilaya ya Bagamoyo Emmanuel Makundi - RFIkiswahili

Mtayarishaji wa makala haya juma hili bado amepiga kambi mjini Bagamoyo Tanzania, na leo anaangazia sekta ya utalii na namna inavyowanufaisha wananchi wa eneo hilo.