Wakimbizi wa DRC nchini Uganda
Imechapishwa:
Sauti 10:09
Maelfu ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepewa hifadhi nchini Uganda na wengi wao wanaishi jijini Kampala.Baadhi ya wakimbizi hao wanajihusisha na maswala ya kibiashara kama ushonaji wa nguo katika soko la Copper Complex.Mwandishi wetu Victor Abuso alizungumza nao alipokuwa nao jijini Kampala.