Wimbi la Siasa

Siasa nchini Uganda

Sauti 10:10
Raia wa Uganda akipiga kura
Raia wa Uganda akipiga kura

Rais Yoweri Museveni alitangazwa mshindi katika uchaguzi uliokamilika nchini Uganda.Mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye aliyakataa  matokeo hayo na kudai kuwa kulikuwa na wizi wa kura.Tunachambua hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Uganda.