Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki

Sauti 09:59
Photo: Filbert Rweyemamu/AFP

Mtayarishaji wa makala haya juma hili ameangazia mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana juma hili mjini Arusha Tanzania, ambapo walikubaliana kuiingiza Sudan Kusini kama mwanachama wake mpya, kicuhumi inafaida gani?