Gurudumu la Uchumi

Siku ya wanawake duniani na mchango wao kwenye uchumi wa dunia

Sauti 09:49

Mtayarishaji wa makala haya juma hili, ameangazia siku ya kimataifa ya wanawake iliyoadhimisha juma hili kidunia, huku umoja wa Mataifa ukitoa wito kwa viongozi wa mataifa mbalimbali kuendelea kutoa nafasi kwa wanawake kushiriki kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi.