Gurudumu la Uchumi

Kuimarika kwa usalama mjini Mombasa ahueni kwa wananchi kiuchumi

Sauti 10:00
Askari wa Kenya katika mpaka na Somalia.
Askari wa Kenya katika mpaka na Somalia. © STRINGER / AFP

Mtayarishaji wa makala haya juma hili amepiga kambi mjini Mombasa nchini Kenya, ambapo anaangazia namna ambavyo usalama umeendelea kuimarishwa na manufaa ya kuwa na usalama imara kwa wananchi kushiriki shughuli za kiuchumi.