Wimbi la Siasa

CCM na CUF vyaendelea kuvutana kuhusu Uchaguzi Zanzibar

Sauti 09:59
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein RFI

Uchaguzi wa Zanzibar wa Machi 20, 2016 bado ni kitendawili huku Chama Kikuu cha Upinzani CUF kikiendelea na msimamo wa kutoutambua na pia kutomtambua rais wa Zanzibar huku CCM wao wakiunga mkono uchaguzi huo na matokeo yake hatua ambayo imeongeza msuguano wa kisiasa. Lakini nini Mustakabali wa Zanzibar? ungana na Victor Robert Wile kupata undani wa hali halisi ya Zanzibar..............