Gurudumu la Uchumi

Hali ya biashara visiwani Zanzibar baada ya uchaguzi mkuu

Sauti 10:08
Rais mteule wa Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein, akionesha cheti alichokabidhiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar, ZEC
Rais mteule wa Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein, akionesha cheti alichokabidhiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar, ZEC RFIKISWAHILI

Mtayarishaji wa makala haya juma hili ameangazia hali ya kibiashara visiwani Zanzibar baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Marudio uliofanyika visiwani humo March 20 mwaka huu na Dr Ali Mohamed Shein kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili.