Wimbi la Siasa

Rais wa Zanzibar aapishwa na kuahidi kushirikiana na upinzani

Sauti 09:59
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein RFIKISWAHILI

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameapishwa na kuahidi kuwa atashirikiana na upinzani licha ya Chama cha CUF kususia uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016. Ungana na Victor Robert Wile katika Makala ya Wimbi la Siasa kujua hatima ya Zanzibar..............