Gurudumu la Uchumi
Uamuzi wa MCC kusitisha misaada yake kwa Tanzania, je utakuwa na athari
Imechapishwa:
Cheza - 09:31
Mtayarishaji wa makala haya juma hili ameangazia kuhusu uamuzi wa shirika la msaada wa maendeleo la Marekani la MCC, kuamua kusitisha msaada wake wa fedha za maendeleo kwa nchi ya Tanzania, hatua ambayo imeonekana ni wazi huenda ikaathiri bajeti ya nchi na kutotimia kwa malengo ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.