Gurudumu la Uchumi

Kashfa ya Panama na athari zake kwa uchumi wa dunia

Imechapishwa:

Mtayarishaji wa makala haya, juma hili ameangazia kuhusu kashfa kubwa iliyoikumba dunia kuhusu baadhi ya viongozi wa dunia na mashirika makubwa duniani kudaiwa kuficha fedha zao kwenye nchi ya Panama inayoaminika kuwa haitozi kodi kubwa kwenye fedha zinazohifadhiwa kwenye taifa hilo.Je kashfa hii inaathari yoyote kwa uchumiwa dunia? Fuatilia makala haya.

REUTERS/Yves Herman