Gurudumu la Uchumi

Maoni ya wananchi wa Tanzania kuhusu mapendekezo ya bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili amezungumza na wananchi wa Tanzania kuhusu mapendekezo ya ukomo wa bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2016/2017, mapendekezo ambayo yaliwasilishwa na waziri wa fedha wa nchi hiyo. Je wananchi wanamtazamo gano kuhusu mapendekezo ya bajeti yenyewe? Fuatilia makala haya.

LA Bagnetto
Vipindi vingine