Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya pili mjadala kuhusu mapendekezo ya bajeti ya Tanzania 2016/2017

Imechapishwa:

Mtayarishaji wa makala haya juma hili anakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu mapendekezo ya ukomo wa bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 kwa nchi ya Tanzania na nini matarajio ya wananchi na wataalamu wa uchumi.

LA Bagnetto