Wimbi la Siasa

Ujio wa Riek Machar waamsha matumaini ya kupatikana amani nchini Sudani Kusini

Imechapishwa:

Hivi karibuni Serikali ya Sudan Kusini ilikubali ombi la Riek Machar kuingia nchini humo akiwa na kikosi chake chenye silaha huku wataalamu wa masuala ya usalama wakihoji hatua hiyo kana kwamba inaweza kuwa kikwazo katika jitihada za kusaka amani nchini humo. Makala ya Wimbi la Siasa inakudadavulia kwa kina kuhusu mada hiyo ukiwa naye Victor Robert Wile.............

Kiongozi wa Waasi wa Sudani Kusini Riek Machar akiwasili katika uwanja wa ndege mjini Juba
Kiongozi wa Waasi wa Sudani Kusini Riek Machar akiwasili katika uwanja wa ndege mjini Juba REUTERS/Jok Solomun